Namna ya kujisajili ili kupata Akaunti ya mtumiaji

Nyumbani
Msaada
Kuhusu Sisi
Maoni Yako
SMS huduma
Makubaliano ya Huduma Zetu
Usalama & Sera ya Faragha

Stooyangu © 2025

Nyumbani > Namna ya Kujisajili >

Stooyangu.com: Namna ya Kujisajili


Kujisajili ili kupata akaunti ya mtumiaji Stooyangu.com ni rahisi, ukiwa ukurasa wa Nyumbani bonyeza kitufe cha Jisajili utapelekwa kwenye ukurasa ambao utajaza taarifa zote kama ilivyo oneshwa kwenye fomu na kisha utabonyeza kitufe cha Tuma taarifa zako ili kuwasilisha taarifa zako kwetu, hatua ya pili utatumiwa ujumbe mfupi wa SMS ulio na tarakimu 6 kwenye namba ya simu ulio andika wakati wa kujaza fomu kwa ajili ya kuthibitisha akaunti yako mpya. ingiza namba hizo kwenye fomu unayoiona kwenye ukurasa wa kuthibitisha kisha bonyeza Thibitisha, kuthibitisha akaunti yako.

Baada ya kuwa umethibitisha kaunti yako utakuwa umemaliza kujisajili na sasa unaweza endelea kufanya manunuzi ya bidhaa, kusajili stoo yako ya mauzo [Namna ya kusajili Stoo ya mauzo], kuhifadhii oda zako kwa muda mrefu zaidi n.k.


Maswali yaulizwayo mara nyingi.