Stooyangu.com: Namna ya kuthibitisha akaunti yako kwa njia ya simu
Kuthibitisha akaunti yako ni rahisi, ukiwa ukurasa wa nyumbani bonyeza butoni ya Ingia kisha weka Namba yako ya simu na Neno lako la siri (Nywila) kisha bonyeza ingia, utaona ujumbe ukikwambia akaunti yako haija thibitishwa, mbele ya ujumbe huo utaona linki, bonyeza linki hiyo kwenda kwenye ukurasa wa kuthibitisha akaunti yako, weka namba ya simu kisha bonyeza Tuma na utapokea SMS yenye tarakimu 6, ingiza tarakimu hizo kwa umakini kwenye fomu utakayo iona na kisha bonyeza Thibitisha.